The House of Favourite Newspapers

Ibra Class Kupanda Ulingoni Na Mchina Oktoba 28, 2023

0

Kuelekea Usiku wa Royal boxing Tour Ep 2 Chini ya HB sadic boxing promotion ndani ya Ukumbi wa PTA sabasaba Karume Hall kuanzia saa 12 jioni ambapo utamkutanisha King Class Mawe Ibrah Class dhidi ya Shao tau Su na Fadhili majiha dhidi ya Bongani Malangu.

Kwa kiingilio shilingi 10,000/= Mzunguko VIP 30,000/= VVIP 50,000.

Kamata tiketi yako sasa Mr. Punguzo Magomeni Mikumi, vunja bei sinza, Ofisi za HB sadic Machinga Complex Dickson sound magomeni na Robyone pharmacy gongo la mboto.

Royal boxing Tour ep 2 inaletwa kwako Na Robyone pharmacy, Machinga complex, Toronto hotel, globe radio, Gazeti la sport extra, Nongo computer, Kahama fresh Milk Karagwe, na SGA.

Hii si ya kukosa
Itakua ni tarehe Tarehe 28/10/23, ndani ya Ukumbi wa PTA, Karume Hall uliopo kwenye Viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya Biashara Sabasaba

Leave A Reply