The House of Favourite Newspapers

Ibra Kadabra atia dole gumba Man U

0

Ibramovic man u (5)

MCHEZAJI wa kimataifa wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic ‘Ibra Kadabra’ mwenye umri wa miaka 34 amejiunga rasmi na klabu ya Manchester United ya Uingereza huku akitamba kuandika kumbukumbu mpya katika historia ya ligi ya England. Ibrahimovic atakuwa akilipwa mshahara wa zaidi ya pauni £200,000 kwa wiki.

Ibramovic man u (2)

Mchezaji huyo aliyekuwa akicheza na klabu ya PSG ya Ufaransa amesaini mkataba wa mwaka mmoja na tayari kocha wake Jose Mourinho amesema kuwa haihitaji kutoa sababu nyingi kuelezea kwa nini ameamua kumsajili mshambuliaji huyo kwa vile ‘takwimu zinajieleza’.

Ibramovic man u (6)

Wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza wakati walipokuwa katika klabu ya Inter Milan ya Italia na kwamba sasa wanakutana tena wakiwa nchini Uingereza.

Ibramovic man u (7)Ibrahimovic akisaini mkataba wa mwaka mmoja kuiceheza Klabu ya Man U

Ibrahimovic ambaye amekuwa akisifika kwa kupachika mabao ya kushtukiza ameandika kwenye mtandao wake wa Twitter akisema kuwa  ‘”ninayo furaha kubwa kujiunga na klabu hii lakini jambo kubwa kwangu ni kufanya kazi tena kocha Jose”  Ibramovic man u (8)

Rekodi ya Ibrahimovic chini ya Mourinho

League appearances – 35

League goals – 25

Cup appearances – 3

Cup appearances – 3

European appearances – 8

European goals – 1

ibramovic

Rekodi Kamili ya Ibrahimovic

Date of birth: October 3, 1981 (aged 34)

1999-01 Malmo – Games 47 Goals 18

2001-04 Ajax – Games 110 Goals 48

2004-06 Juventus – Games 92 Goals 26

2006-09 Inter Milan – Games 117 Goals 66

2009-10 Barcelona – Games 46 Goals 22

2010-12 AC Milan – Games 85 Goals 56

2012-16 PSG – Games 180 Goals 156

2001-16 Sweden – Games 116 Goals 62

TOTAL: Games 793 Goals 454

Honours: Eredivisie (2002, 2004), KNVB Cup (2002), Serie A (2007, 2008, 2009, 2011), Italian Super Cup (2006, 2008, 2011), La Liga (2010), Spanish Super Cup (2009, 2010), UEFA Super Cup (2009), FIFA World Club Cup (2009), Ligue 1 (2013, 2014, 2015, 2016), Coupe de France (2015, 2016), Coupe de la Ligue (2014, 2015, 2016), Trophee des Champions (2013, 2014, 2015)

Ibramovic man u (1)

Ibramovic man u (3)

Ibramovic man u (4)

Ibrahimovic_announced_his_move_to_Manchester_United

Leave A Reply