The House of Favourite Newspapers

Inasikitisha! Mume Alinikimbia Nikiwa Na Mimba, Nikaanza Penzi Na Mume Wa Mtu – Video

0

Mwanamama Zuhura Abdallah almaarufu Zuhura Sokomoni aliyepata umaarufu miaka ya nyuma kwa kucheza Taarab akiwa na kundi lake la Sokomoni la Buguruni jijini Dar es Salaam, amefungukia tukio la mume wake wa pili kuchepuka kisha kumdanganya ambapo naye aliamua kulipa kisasi.

Leave A Reply