The House of Favourite Newspapers

INAUMA: Producer wa GODZILLA Aeleza “Kaacha Album” – VIDEO

Prodyuza wa Marehemu Godzilla, anayefahamika kwa jina la KB Amezungumza na Global TV Akiwa msibani nyumbani kwa marehemu maeneo ya Salasala na kueleza jinsi ambavyo alikuwa akifanya kazi na marehemu huyo.

Prodyuza KB amesema Album ya Godzilla imebakia kidogo iweze kukamilika hivyo kifo chake kimemuachia kumbukumbu kubwa.

Comments are closed.