The House of Favourite Newspapers

KUTOKA MSIBANI – “Godzilla Alinifukuza Sitamsahau” – VIDEO

Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuhusiana na Tasnia ya Bongo Fleva kupata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Godzilla ambaye amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, Februari 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar es Salaam.

Global TV imefika msibani na kuzungumza na mwanamuziki ambaye ni mtu wa karibu na Godzilla, Isabella Mpanda, na amemuelezea rafiki yake huyo mpaka dakika za mwisho umauti unamkuta.

Comments are closed.