The House of Favourite Newspapers

Ini Edo afungua bonge la ukumbi!

0

in edoMimz Lounge ya In Edo

MREMBO asiyechuja kunako filamu Nollywood, Ini Edo amezidi kujiongezea utajiri baada ya juzikati kufungua bonge la klabu na kulipa jina la Mimz Lounge.

in edo (2)Staa wa filamu za Nollywood, Ini Edo

Staa huyo alizindua mjengo wake huo pande za Lekki, Lagos, Jumatatu iliyopita na umeshaanza kutumika rasmi kuanzia juzi Jumatano. Mbali na klabu hiyo, pia kuna sehemu ya nyumba za kulala wageni ‘gesti’.

Leave A Reply