The House of Favourite Newspapers

Uwazi Mizengwe lagawa zawadi kwa wasomaji wake Kibaha

0

Baadhi ya wasomaji wa gazeti la Uwazi-Mizengwe, muda mfupi baada ya kununua gazeti hilo.
Mmoja wa wateja hao akichukua gazeti hilo mezani kwa muuzaji.
Msomaji akisoma kurasa za ndani za gazeti hilo.
Msomaji akiwa amerudishiwa fedha yake na Mr. Uwazi baada ya kukutwa akinunua gazeti hilo.
Mr. Uwazi akimkabidhi T- sheti yenye nembo ya Uwazi–Mizengwe, msomaji wa gazeti hilo.
Mr. Uwazi akimkabidhi msomaji mwingine zawadi ya T-sheti baada ya kununua gazeti hilo.

GAZETI la habari za kisiasa la Uwazi-Mizengwe ya Uchaguzi, leo mapema limetoa zawadi mbalimbali kwa wasomaji zikiwemo T-sheti katika mji wa Kibaha mkoani Pwani ikiwa ni moja ya njia ya kuwashukuru kwa kununua gazeti hilo.

(Habari / Picha: Brighton Masalu / GPL.)

Leave A Reply