The House of Favourite Newspapers

Isikupite Hii… Utajifunza Mbinu za Kukuza Uchumi Wako Katika Kipindi Hiki Kigumu

Isikupite #ProfessionalGathering Jumapili hii… Jinsi ya kukuza uchumi wako kwenye kipindi hiki cha uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Mhamasishaji Eric Shigongo kuanika mbinu zitakazokusaidia kutanua biashara na kujenga uchumi imara kwenye wakati.
Usikose Jumapili hii paleee VCCT, Mbezi Beach Dar.

Comments are closed.