The House of Favourite Newspapers

Izzo B, Jay Z wapi na wapi?

0

izzo biznez (1)Mkali wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Simwenga ‘Izzo Business’.

Boniphace Ngumije

MKALI wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Simwenga ‘Izzo Business’ ambaye anatisha kwa sasa na Wimbo wa Shemu Lake hivi karibuni alitupia picha yake kwenye Mtandao wa Instegram akiwa katika pozi ambapo muda mfupi baadaye shabiki wake mmoja alikomenti chini ya picha hiyo kwa maandishi yaliyosomeka ‘Jay Z wa Bongo.’

Baada ya komenti hiyo vurumai baina ya mashabiki liliibuka huku wengine wakipinga eti mshkaji huwezi kumfananisha na Jigga, wengine wakitetea kuwa wanaendana na anafaa kuvaa viatu hivyo lakini mwisho wa siku komenti nyingi ziliuponda U-Jay Z wa Izzo.

Leave A Reply