The House of Favourite Newspapers

Jamani Kaka Cheni…Ndiyo Nini Sasa?!-16

4

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:

Mama aliacha fagio akaenda kwenye mlango wa kaka Cheni, akashika kitasa, ikaonekana mlango umefungwa…

“We Cheni,” mama aliita kwa sauti ya juu.

TAMBAA NAYO SASA…

 

Huyu atakuwa ametoka au hakulala hapa nyumbani,” alisema mama huku akiurudia ufagio wake na kuendelea kufagia.

Mimi sijui mama. Lakini kaka Cheni usiku alikuwepo,” nilimwambia mama.

“Ulijuaje kama alikuwepo?”

“Si nilimsikia akiimba!”

“Alikuwa akiimba nini?”

“Nyimbo zao wanasema Bongo Fleva sijui, kwani mama we hujui kaka Cheni anapenda sana kuimbaimba?”

“Aka! Mimi simfuatiliagi na upuuzi wake huo,” alijibu mama kwa sauti iliyojaa kunipuuza.

Mara, baba alitoka akiwa ameshikilia kiti cha kukunja, akakikunjua na kukiweka pembeni ya mlango wa kuingilia ndani akakaa…

“Shikamoo baba,” nilimwamkia.

“Marahaba, hujambo?”

“Sijambo baba.”

“Nasikia kaka yako ametoka au hakulala humu ndani ya nyumba?”

“Kwa mujibu wa mama,” nilimjibu baba…

“Kwa mujibu wa mama? Kwa mujibu ndiyo nini?”

“Yaani hayo unayoniambia kayasema mama kwamba kaka Cheni atakuwa hajalala humu ndani au alitoka asubuhi na mapema kwenda mahali,” nilisema nikiwa na wasiwasi kuhusu baba kutosikia neno kwa mujibu.

“Mimi nitakaa hapahapa leo mpaka giza linaingia, siendi kuoga wala siendi dukani. Chakula utaniletea hapahapa mama Cheni,” baba alimwambia mama akionesha hana utani ana alichokuwa akikisema.

Nilirudi chumbani, nikapiga magoti na kumwambia kaka Cheni kule chini ya kitanda…

“Baby kimenuka huku. Baba amekaa nje hapo, anasema haendi kokote mpaka utakaporudi maana anajua umetoka.”

“Nimemsikia…nimemsikia…sasa unadhani itakuaje? Maana kitanda chako nacho ni kifupi sana mgongo umeanza kunipa maumivu.”

“Da! Pole sana baby…sasa unadhani itakuaje?”

“Hata sijui. Ila itafika mahali itabidi nitoke tu ili nikae kitandani maana…”

Nilitoka nje kuangalia mazingira ili kama baba ana mpango wa kusema lolote kuhusu kaka Cheni ili ijulikane moja. Lakini baba alikaa kwa umakini sana akinywa chai…

Nilijaribu kutumia mbinu, nilimwambia baba aende akaangalie msumari mmoja kwenye mlango wa kuingia bafuni…

“Mlango umeng’oka?” baba aliniuliza.

“Hapana kuna kitu kama pini halafu ina uzi mweusi, sasa nilitaka ukaone ni uzi wa kawaida na ni pini ya kawaida au vipi?’

“Nitauona kesho, nimeshasema mimi leo nimefika hapa, lengo langu kubwa ni kujua maisha yenu yapoje…” alisema baba huku akinipiga jicho baya sana kisha akasema tena…

“Ninachotaka ni nyinyi kusimama kwenye mstari wa matakwa yangu hapa nyumbani. Sasa huyo anayesema hayo kwamba nikaangalie pini sijui itakuwa imepelekwa na nani mimi ya nini?”

Niliachana na baba na kurudi ndani chumbani ambako nilimpa taarifa kaka Cheni kwamba, baba hana mpango wa kwenda hata chooni…

“Da! Sasa naanza kujuta. Hivi ningekuwa kwa mademu zangu hata kama wababa wao wangekaa mlangoni kwao ningetoka bila kujali…sasa hapo nikisema nitoke baba si atatuachia laana? Maana atajua tumetokea wapi!”

“We kaka Cheni, usithubutu,” nilimwambia kaka Cheni huku nikiangalia juu. Nikabaini kuwa, kama kaka Cheni atakwea ukuta anaweza kutumbukia upande wa pili chumbani kwake maana hakukuwa na dari kama nilivyosema tangu awali na uwazi huo ulikuwa ukinifanya nijue yupo na mademu zake.

“Kaka Cheni, ufumbuzi umepatikana my dear,” nilimwambia…

“Upi…upi huo sista?” alisema kaka Cheni huku akitoka chini ya kitanda lakini kwa tahadhari kubwa ili asisababishe kuliza kitu chochote ndani.

“Angalia kule juu. Ukipanda hapa kwenye stuli, ukakanyaga kabati si unaweza kutokea upande wa chumbani kwako?”

“Ndiyo, unaweza kabisa,” alisema kaka Cheni.

Kwa furaha tukakumbatiana, tukapeana denda.

Polepole nikamwona kaka Cheni anasogelea mlango ambao ulikuwa umefungwa, lakini siyo na funguo, yeye akazugusha funguo kuufunga kwa taratibu sana.

“Vipi tena my dear brother?” nilimuuliza…

“Niko na furaha sana sista.”

“Kwa hiyo? Mbona umefunga mlango sasa?”

Hapo tuliachiana kwenye denda kidogo, tukaangaliana sura, tukazama tena kwenye denda la nguvu tena!

Nilijua kaka Cheni anataka nini. Na kwa sababu ya furaha ya kuona mwanga wa kurudi chumbani kwake. Nilijichojoa kanga, nikaitupa kule, yeye alikuwa ndani ya bukta. Hatukutaka kwenda kitandani, kitapiga kelele.

Ile tunaanza mchezo tu, yaani mpira umeshatoka kati kuelekea upande wangu, mama akaniita…

“Wewe, yaani umeingia ndani kulala au?”

“Nakuja mama, navaa tu mara moja, lakini nakuja sasa hivi,” nilimjibu mama kwa sauti yenye kukatakata maneno maana si unajua tena na kilichokuwa kikiendelea?

“Hebu toka nikutume sasa hivi,” alisema mama.

Nikawa namsukuma kaka Cheni ili ajue kwamba nataka kutoka lakini yeye akagoma kwa vitendo, maana aliendelea kuning’ang’ania kwa asilimia mia moja! Sikuwa na uwezo wa kufanya lolote labda kupiga kelele…

“Kaka Cheni bwana,” niliita kwa sauti ya chini sana lakini yenye kuashiria kumfokea.

“Hivi wewe  husikii au? Si nimesema uje nikutume dukani sasa hivi,” mama alirudia kuniita.

Je, kilitokea nini? Usikose uhondo huu wiki ijayo.

4 Comments
  1. Fred says

    Khaa

  2. Emmanuel says

    Duuuuh… Aiseee…!

  3. monica says

    Majanga atayabeba baba yao

  4. alex rodrick says

    watoto hawa hawataki kuzitesa hisia zao!!!!!!

Leave A Reply