The House of Favourite Newspapers

Magufuli amtafuta Malaika

1

MALAIKAMsanii wa Bongo Fleva, Diana Malaika Exavery ‘Malaika’.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli hivi karibuni aliwashangaza wasanii baada ya kumtafuta msanii wa Bongo Fleva, Diana Malaika Exavery ‘Malaika’ walipokuwa kwenye mkutano wa wasanii uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo lilishuhudiwa kwa Magufuli akiimba moja ya wimbo ambao Malaika alikuwa akiuimba kipindi cha kampeni za kuwania urais kisha kumuulizia kama alikuwepo.

 “Sikutegemea kama Rais Magufuli angemkumbuka Malaika kwa kuimba nyimbo zake, kweli ameonesha ni mfuatiliaji wa sanaa,” alisema mmoja wa wasanii .

Alipoulizwa Malaika  kama aliyasikia hayo alikiri kuyasikia.

1 Comment
  1. Urio says

    Others will transcend!

Leave A Reply