JB: “Hatutampata Mtu Kama Majuto” – Video

Msanii mkongwe wa filamu hapa nchini, Jacob Stephen ‘JB’ amesema tasnia ya Bongo muvi imepata pigo sana kwa kumpoteza Mzee Majuto na ni ngumu sana kumpata mtu wa kufanana nae kwani yeye alijitolea maisha yake yote kwa ajili ya sanaa.

Loading...


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment