The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Je CCM Wanaruhusiwa Kufanya Vurugu na Kuachiwa? – Peter Lijualikali

0

LEO Aprili 27, 2017 Mbunge wa Ulanga, Peter Lijualikali (CHADEMA) amemtwanga swali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni kuhusu vurugu zinazodaiwa kufanywa na wafuasi wa CCM kuwajeruhi askari polisi.

Lijualikali amehoji endapo CCM wanaruhusiwa kufanya vurugu na kuachiwa huru.

Leave A Reply