The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Hii Hapa Taarifa ya Spika Bungeni Kuhusu Mauwaji ya Polisi 8 Kibiti Mkuranga

0

LEO Aprili 27, 2017 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesoma taarifa ya Spika kuhusu vifo vya askari wanane waliovamiwa na majambazi wakitoka doria kisha kufyatuliwa risasi na majambazi na kuuawa wilayani Kibiti Mkoani Mkuranga wiki mbili zilizopita.

Taariofa hiyo ni kutokana na mwongozo ulioombwa Aprili 18 na Mbunge Dotto Biteko akiitaka Kamati ya Mambo ya Ndani ya Nchi kutaka kamati hiyo itoe tathmini, maoni na mapendekezo kuhusu tukio hilo.

Msikie Dkt. Tulia akisoma taarifa hiyo.

Leave A Reply