The House of Favourite Newspapers

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Limetangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi Hilo kwa Kujitolea

0
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kupitia kwa Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa kujitolea.

 

Brigedia Jenerali Mabena amesema zoezi la kutuma maombi linaanza rasmi leo Agosti 25, 2022 na litaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa ya waombaji husika.

 

Aidha amebainisha kuwa Jeshi hilo halitoi ajira na wala halitahusika kuwatafutia vijana ajira kwa wale watakaofanikiwa kupata fursa ya kujiunga kujitolea katika Jeshi hilo.

Leave A Reply