The House of Favourite Newspapers

John Terry Atimkia Aston Villa

0

 

Aliyekuwa beki kisiki wa Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza John Terry  amejiunga klabu ya  Aston Villa kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Terry ambaye alikuwa nahodha wa Chelsea, alihamia klabuni hapo akiwa na umri wa miaka 14 mwaka 1994 baada ya kufanya vizuri katika mfumo wa vijana wa West Ham United.

Alikuwa mchezaji wa timu ya kwanza huko Stamford Bridge kwa misimu 19, na kushinda mataji ya Ligi Kuu, FA Cups pamoja na Ligi ya Mabingwa.

Steve Bruce, meneja wa Villa, amemshawishi mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 kuhamia klabu hapo.

 

Bosi huyo wa Everton amedai alimfuatilia mchezaji huyo kwa miaka mingi lakini alishindwa kumpata.

Great day at Monte Rei 🇵🇹☀️ Thank you @montereiresort #Eligo Well played @4alexbruce #Steve #Nico

A post shared by John Terry (@johnterry.26) on

Leave A Reply