The House of Favourite Newspapers

Jokate: Jokate: Sasa Nawaza Noti Tu

0
Mwanamitindo Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’.

NA BRIGHTON MASALU, IJUMAA, STAR MIX

MWANAMITINDO Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa, misukosuko aliyokumbana nayo kwenye maisha ya kimapenzi imetosha kwani kama ni maumivu ameshayaonja na sasa hakuna anachowaza zaidi ya kujirundikia noti kwa kufanya kazi kwa nguvu.

Akizungumza na Akizungumza Ijumaa, Jokate ambaye pia ni Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) alisema: “Zamani nilidhani ukiwa mrembo huwezi kuumizwa na mapenzi, lakini ukweli ni kwamba iko hivyo na kwa hapa nilipofi kia, imetosha.

Kwa sasa nawaza zaidi kutengeneza fedha pamoja na Kwa sasa nawaza zaidi kutengeneza fedha kuzungumza na watu, hususan wanafunzi kwa kuwatia nguvu na maarifa ya jinsi ya kujipatia fedha. “Kupitia nembo yangu ya Kidoti, tayari nimeanza kuzungumza na wanafunzi vyuoni na maeneo mengine. Unajua umri umekwenda na maisha hayasubiri, nimeiweka akili yangu yote kwenye kupambana na maisha.”

Leave A Reply