The House of Favourite Newspapers

Jose Mara atikisa na New Mapacha Watatu

0

jose maraStori: Uwazi Showbiz

WAPENZI wa Muziki wa Dansi nchini, hivi karibuni walimshuhudia Mwanamuziki Jose Mara akitumbuiza peke yake kwenye tamasha la muziki huo kufuatia kukimbiwa na Khalid Chokoraa na Kalala Junior waliyekuwa wanaunda Kundi la Mapacha Watatu.

Katika tamasha hilo lililojulikana kwa jina la Tanzania Band Festival lililozikutanisha bendi  nyingi kwa ajili ya kumsapoti Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda  katika kampeni ya kuchangia madawati.

Jose Mara  alipanda jukwaani akiwa pamoja na wapiga vyombo pekee jambo lililofanya apigiwe shangwe za kutosha pia alisema bendi yake sasa inajulikana kwa jina la New Mapacha Watatu.

Leave A Reply