The House of Favourite Newspapers

JPM Aacha Neema kwa Wamachinga Stendi ya Msamvu Moro

0

MOROGORO: Rais Magufuli amewataka wawekezaji wote waliobinafsishiwa viwanda mkoani humo na kushindwa kuviendeleza, wavirejeshe Serikalini ili wapewe wengine.

Wakati huohuo, Rais ametoa agizo kuwa wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) katika Stendi ya Mabasi Msamvu, waachwe waendelee na biashara zao.

 

Leave A Reply