The House of Favourite Newspapers

JPM Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Oktoba 30, 2019.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM baada ya kikao kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Oktoba 30, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Rais Dkt. John Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Dkt. Ally Mohamed Sheini baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar, Oktoba 30, 2019.
PICHA NA IKULU

Comments are closed.