The House of Favourite Newspapers

JPM Apitishwa na CCM Kugombea Uenyekiti

1

magufuli111

KIKAO cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma leo kimepitisha jina la Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea nafasi za uenyekiti wa chama hicho.

Jina hilo kesho litapelekwa katika Mkutano Mkuu wa chama ili kupigiwa kura ya Ndiyo au Hapana.

Magufuli

1 Comment
  1. Ibrahim says

    Namtakia kila LA kheri,

Leave A Reply