The House of Favourite Newspapers

JS Saoura Yaikomalia Al Ahly, watoka sare ya 1-1

 

TIMU ya  JS Saoura ya Algeria na Al Ahly ya Misri ziizolicheza mechi zao za pili nchini Algeria jana, zilitoka sare ya mabao 1-1.

JS Saoura  ilikuwa yakwanza kupata bao kupitia kwa Sid Ali Yahia-Cherif dakika ya 59 kipindi cha pili na Al Ahly walipata bao dakika ya 85 kupitia kwa Karim Walid.


 

Comments are closed.