The House of Favourite Newspapers

Kafulila Ashindwa Kesi Ya Uchaguzi Kigoma

0

Mbunge wa( NCCR- Mageuzi- kigoma Kusini) David Kafulila akichangia hojaAliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR).

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora yatupilia mbali Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na kumpa ushindi Hasna Mwilima( CCM).

Kesi hii ilifunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Tabora na kuwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari.

husna mwilimaHasna Mwilima( CCM).

Katika kesi hii upande wa mlalamikaji (Kafulila) uliongozwa na mawakili Prof. Abdallah Safari, Tundu Lissu na Daniel Lumenyera, Ili hali upande wa mlalamikiwa (Hasna) uliongozwa na wakili Kennedy Fungamtama pamoja na Mawakili wa Serikali upande wa mwanasheria mkuu wa Serikali.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply