The House of Favourite Newspapers

Kajala Afuta Tattoo Ya Harmonize – Video

0

Mrembo mwenye umbo matata Bongo na Msanii wa Bongomuvi, Kajala Masanja amefuta ile tattoo iliyokuwa na herufi ya kwanza ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Harmonize.

Harmonize ambaye pia ni msanii wa Bongofleva aliambulia kibuti Aprili mwaka huu licha ya penzi lao kuchanua na kutikisa Bongo mithili ya moto wa kifuu hali iliyowalazima kila mmoja kuchora herufi ya jina la kwanza la mwenzie kwenye shingo yake.

Hata hivyo, baada ya miezi miwili na ushee, Kajala ameamua kuifuata tattoo hiyo na kuchora ua huku akisikika akishadadi kuwa anafuta uchafu.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply