The House of Favourite Newspapers

Kajala: Sikujutia kuzaa mapema

0

IMG_4198
Staa ‘grade one’ kunako filamu Bongo, Kajala Masanja.

STAA ‘grade one’ kunako filamu Bongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa hakujutia kuzaa mapema ambapo leo kila anapofumba jicho usiku anamshukuru Mungu kwa kumjalia mtoto ambaye ni faraja yake.

Akizungumza na Amani Kajala alisema kuwa, mwanzoni watu walimcheka kuzaa mapema lakini siku zinavyozidi kusonga anafurahi sana kumuona mtoto wake anazidi kuwa msichana mkubwa ambaye wanaweza kukaa na kuzungumza.

KAJALANAMWANAYE1“Hakuna kitu ambacho sitaweza kujuta kwenye maisha yangu kama kuzaa mapema, leo hii kila ninapomuona mtoto wangu nainua mikono juu na kumshukuru Mungu kwa kunipa mtoto kama Paula ananifariji sana na ananipa kila sababu ya kutafuta zaidi” alisema Kajala.

Leave A Reply