The House of Favourite Newspapers

KALA JEREMIAH: Pengo la Ruge Haliwezi Kuzibika Kabisa – Video

MWANA Hip Hop nguli Bongo, Kala Jeremiah, amesema kamwe pengo la aliyekuwa Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba haliwezi kuzibika kutokana na mazuri mengi aliyoyafanya kwenye tasnia ya muziki nchini.

 

Kala amesema hayo wakati alipokuwa wakati akimzungumzia Ruge kwenye maombolezo yanayofanyika nyumbani kwao, maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.

VIDEO: MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.