The House of Favourite Newspapers

Kama Una Roho Ngumu… Tazama Hii


GLOBAL TV ONLINE imekuwekea LIVE makala maalum kuhusiana na tukio la kusikitisha la mauaji ya vijana wawili ambao ni ndugu wa familia moja, Rumai Kambererega (22) na Sainga Kambererega (25).

Mauaji hayo yanadaiwa kufanywa na polisi, Jumanne iliyopita katika oparesheni ya kuwaondoa wafugaji kwenye Kijiji cha Kidomole Kata ya Makurunge wilayani Bagamoyo.

HAKIKA INASIKITISHA SANA… BOFYA ==>www.youtube.com/watch?v=-O56fMvowXQ&t=131s

Comments are closed.