The House of Favourite Newspapers

Kamati ya JPM ya Madini Yaanza Mazungumzo na Tanzanite One

Serikali imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kampuni ya Tanzanite One ambayo yanalenga kuhakikisha Tanzania inanufaika ipasavyo na rasilimali ya madini hayo ambayo yanachimbwa nchini Tanzania pekee.

Comments are closed.