The House of Favourite Newspapers

KAMISHNA MAGEREZA, AWAVISHA VYEO MAOFISA DAR, PWANI

 KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (kulia) akimvalisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo,  kuwa Kamishina Msaidizi wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es Salaam, jana Agosti 6, 2019.

 

…Akimvalisha cheo Mrakibu Msaidizi wa Magereza, Merkiory Komba,  kuwa Mrakibu wa Magereza.

 

Baadhi ya maofisa waliopandishwa vyeo katika ngazi mbalimbali wakisubiri kuwasili kwa Kamishana Jenerali Kasike.

 

Kasike (wa tatu kulia) akikagua gwaride maalum kabla ya zoezi la uvishaji vyeo maofisa husika.

Gwaride maalum likipita kwa mwendo wa polepole mbele ya Kasike. 

 

Maofisa waandamizi wa Jeshi la Magereza wakitoa heshima wakati gwaride maalum likipita.

Kasike (katikati) akiwa na maofisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza waliopandishwa vyeo.

Comments are closed.