The House of Favourite Newspapers

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Yapata Hasara ya Shilingi Bilioni 56.64

0

“Kwa mwaka wa fedha 2022/23 Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imepata hasara ya shilingi Bilioni 56.64, sawa na ongezeko la asilimia 62 kutoka hasara ya shilingi Bilioni 35.24 iliyoripotiwa mwaka uliopita,” amesema Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere.

Ameongeza kuwa ATCL imepata hasara hiyo licha ya kupokea ruzuku ya shilingi Bilioni 31.55 kutoka Serikalini, na kuonesha kiasi cha shilingi Bilioni 9.71 ikiwa ni sehemu ya ruzuku kama mapato.

Leave A Reply