The House of Favourite Newspapers

Kashehe! Polisi Yazuia Maiti Isizikwe “Mnavunja Sheria” – Video

0

Jeshi la Polisi limezuia mwili wa mwananchi aliyefariki dunia tangu Januari 9, 2020 wilayani Serengeti mkoani Mara.

 

Chanzo cha kuzuia kuzikwa kwa mwili wa marehemu huyo inatajwa kuwa marehemu hana eneo la kuzikwa kwani hata eneo lilipochimbwa kaburi hilo lina mgogoro ambao kesi yake bado ipo mahakamani.

FUATILIA SAKATA HILO HAPA

Leave A Reply