The House of Favourite Newspapers

Ijumaa ya Leo ni ya Maokoto Meridianbet

0

Unajua kuwa siku ya leo ni siku ya wewe kutusua na meridianbet ambapo ukibashiri kwa usahihi mechi zako?. Narcelona, Napoli Nice wote wapo uwanjani unasubiri nini? Suka jamvi lako sasa.

SERIE A leo hii itapigwa mechi moja kali katika dimba la Maradona ambapo Napoli ambaye atataka kulipa kisasi dhidi ya Torino huku tofauti ya nafasi kwenye msimamo wa ligi ni tatu pekee.

Naples wanaingia kwenye mchezo huu huku wakikumbuka mechi ya kwanza walipokutana, waliambulia kichapo cha maana. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi kwa ODDS 1.78 kwa 4.70?. Jisajili hapa.

Vilevile cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Huku kule Ujerumani, BUNDESLIGA patashika nguo kuchanika leo ambapo majira ya saa 4:45 usiku VFB Stuttgart atamualika Union Berlin ambao bado wanachechemea kujiweka kwenye mstari mzuri msimu huu. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 na mgeni wake yupo nafasi ya 14 hivyo toafuti ya pointi kati yao ni 25.

Leo hii pale LALIGA kutakuwa na mbungi kali sana ambapo vijana wa Xavi baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, FC Barcelona watakuwa na kibarua kizito cha kuwakabili RCD Mallorca ambao walipoteza mchezo uliopita.

Barca ambao wapo nafasi ya 3 wamepewa ODDS 1.45 kushinda mechi hii huku mgeni akiwa nafasi ya 15 akipewa ODDS 6.66 huku mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri mechi hii.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1 nayo inatarakiwa kuendelea kwa mchezo mkali sana, OGC Nice atakipiga dhidi za Montpellier HSC ambao wapo nafasi ya 16 kwenye ligi hiyo. Meridianbet wamempa Nice ODDS 1.68 kushinda mechi hii kwa 4.80. Mechi ya mwisho walitoshana nguvu. Je leo hii tutarajie nini hapa?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet bashiri sasa.

Leave A Reply