The House of Favourite Newspapers

TFF Yasikitishwa na Madai ya Manara, Yatoa Tamko Rasmi Kuhusu Sakata Hilo

0

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa

Leave A Reply