The House of Favourite Newspapers

Kauli ya Mo Dewji Baada ya Simba Kupigwa na Yanga – Video

0

GAME wa Watani wa Jadi, Yanga Sc vs Simba Sc (Dar Darby) umepigwa jana katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa kwa mkwaju wa adhabu na Bernard Morrison dakika ya 44.

 

Ushindi wa leo unaifanya Yanga kufikisha pointi 50 ikiwa imecheza mechi 25 huku Simba ikiwa na pointi 68 imecheza mechi 27 za Ligi Kuu Bara.

 

Mwekezaji wa Simba, Mo Dewji Amesema Haya Baada ya mechi hiyo

Leave A Reply