The House of Favourite Newspapers

Manji Aomba ‘Poo’ Mahakamani Kesi Yake ya Madawa

0
Manji akiwasili mahakanai hapo.
KESI inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji anayotuhumiwa kutumia madawa ya kulevya imeshindwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusogezwa mbele hadi Septemba 25.
Manji akitinga kortini.
Kesi hiyo ilishindwa kusikilizwa kutokana na Manji kuchelewa kufika mahakamani. Lakini Manji alimueleza hakimu kuwa aliambiwa hakimu huyo yupo katika kikao.
Kutokana na hali hiyo, imesogezwa mbele hadi Septemba 25, ambapo Manji atapeleka mashahidi wake.

Cannavaro Amfuata Manji Mahakama ya Kisutu

 

Kesi ya Manji ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya Yapigwa Kalenda

MANJI Amshitua Okwi, Atia Neno Kuhusu Bosi Wake Huyo

Leave A Reply