The House of Favourite Newspapers

Kidoa Mjamzito?

BAADA ya kudaiwa ni mjamzito kwa sasa, mwanadada Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijipatia umaarufu kupitia uvideo queen na sasa amegeukia kwenye filamu, ameibuka na kufungukia ishu hiyo. Sema kuna watu wengi wanajua yeye ni mjamzito,…

Kidoa afungukia ujauzito

BAADA ya kudaiwa ni mjamzito kwa sasa, mwanadada Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijipatia umaarufu kupitia uvideo queen na sasa amegeukia kwenye filamu, ameibuka na kufungukia ishu hiyo.  Sema kuna watu wengi wanajua yeye ni mjamzito,…

Kidoa ahofia pete kumtia nuksi!

MODO na mwigizaji wa Bongo Muvi, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema hataki shobo za wadada wa mjini wanaojivalisha pete ya uchumba na kukaa kidoleni miaka 10 kwani anahofia kuwa itamtia nuksi.  Katika mahojiano maalum na Gazeti la Ijumaa, Kidoa…

KIDOA AELEZA SABABU UCHUMBA KUVUNJIKA

MSANII wa filamu na video queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ ameibuka na kueleza sababu za uchumba wake kuvunjika. Kidoa alifikia hatua ya kufungukia hilo kutokana na habari kuzagaa kwamba uchumba wake umevunjika ambapo alisema ni…

KIDOA AJISIFU KUKULIA USWAHILINI

MSANII wa fil amu ambaye pia alikuwa muuza sura kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amejisifu kukulia uswahilini na kusema kuwa wasichana wengi ambao maisha yao wamekulia huko ndiyo wanaofanikiwa kimaisha. Kidoa alisema…

Kidoa Apokwa Gari na Bwana’ke

MUUZA nyago machachari Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kupokonywa gari aina ya Subaru na mwandani wake ambaye ni kigogo wa serikali baada ya kushindwana tabia. Taarifa kutoka kwa chanzo kilicho karibu na mrembo huyo zimeeleza…

Kidoa Adaiwa Kurudia Ufuska!

MSANII wa filamu Bongo Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye kwa kipindi kirefu alipoa kama maji ya mtungi kutokana na mwandani wake kumpiga ‘stop’ mambo ya kifuska ikiwemo kupiga picha za nusu utupu, amedaiwa kurejea kwenye vitendo hivyo baada ya…

Kidoa Amkingia Kifua Mobeto

MUUZA nyago matata Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’, amewataka mastaa wa kike Bongo waache kuendelea kumuandama mwanamitindo, Hamisa Mobeto baada ya kuzaa na Mbongo Fleva ambaye ni mzazi mwenza wa mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss…

Kidoa si wa Mchezo Mchezo!

MSANII wa filamu Bongo, Asha Salumu ‘Kidoa` amethibitisha kuwa yeye sasa siyo wa mchezomchezo baada ya kufanikiwa kumiliki nyumba maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam baada ya kujikita pia kwenye tamthiliya ya Huba, jambo…

Mkwanja Wampeleka Kidoa Bongo Movie

Mayasa Mariwata MUUZA nyago mwenye figa matata Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema kuwa,  miongoni mwa mabadiliko aliyoyafanya katika mwaka huu wa 2017 ni kujikita kwenye ulimwengu wa filamu kuliko mambo ya kuwa video queen. Akipiga stori…

Mitungi Imemkosesha Kidoa Mabwana!

Modo anayefanya poa Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’.Stori: Mayasa MariwataMODO anayefanya poa Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amefunguka kuwa wanaume aliokuwa nao kwenye uhusiano wa mapenzi kipindi cha nyuma walikuwa wakimcheka na kumdharau kwa kumuona…

Kidoa Nusura Aachike

WIKI kadhaa tangu aingie katika uhusiano na jamaa mmoja anayedaiwa kuwa ni kigogo, muuza nyago kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ kidogo anusurike kuachwa na kigogo huyo baada ya kufumwa meseji za wanaume wengine kwenye simu…

Kidoa aachana na ufuska

MAYASA MARIWATA, AMANI MODO mwenye figa matata Bongo Asha Salum ‘Kidoa’ amesema kuwa, ameamua kutulia kuachana na maisha ya ufuska baada ya kupigwa marufuku na mwandani wake ambaye ni kigogo wa serikali anayemuweka mjini. Akipiga stori…

Kidoa ajiweka kwa kigogo

MAYASA MARIWATA VIDEO QUEEN Bongo ambaye pia ni msanii wa Bongo Muvi, Asha Salumu ‘Kidoa Akadumba’ amewataka wasanii wanaommendea kukaa chonjo kwa kuwa ana mtu wake (kigogo serikalini jina kapuni) anayemuweka mjini na kujituliza kwake.…

Happy Birthday Kidoa Salum

Video Queen mwenye figa matata, Asha Salum ‘Kidoa’. LEO ni siku muhimu sana kwa Video Queen mwenye figa matata, Asha Salum ‘Kidoa’ ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kitengo cha Global Digtal tunakutakia heri ya kuzaliwa.…

Madai; Masogange kumharibu Kidoa

Agnes Gerald" Masogange " Na Mayasa Mariwata, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Video Queen nyota, Agnes Gerald maarufu kama Masogange anadaiwa kutaka kumharibu muuza nyago chipukizi Asha Salum ‘Kidoa’ baada ya wadau kutilia shaka…

Kidoa akwapua mume wa mtu

Asha Salum ‘Kidoa’ na anayedaiwa kuwa mme wa mtu wakiwa katika pozi. Stori:  Hamida Hassan na Mayasa MaRiwata Staa anayeibukia, Asha Salum ‘Kidoa’ wiki hii anatengeneza habari baada ya kudaiwa kuwa, hivi karibuni alikwapua mume wa mtu na…

Kidoa, Samatta wanaswa

Video Queen Asha Salum ‘Kidoa’ akipozi na Samatta.  Waandishi wetu, Ijumaa DAR ES SALAAM: Baada ya hivi karibuni Video Queen Asha Salum ‘Kidoa’ kuibuka na kueleza kuwa, yuko tayari kufanya lolote ili awe na mwanamuziki Nasibu Abdul…