The House of Favourite Newspapers

Kidoa; Zao la Nay wa Mitego anayejiongezea umaarufu kila kukicha

0

48
KAMA kawa, kama dawa. Mpaka Home Next Level inazidi kuchanja mbuga kwa kuwatembelea mastaa mbalimbali Bongo ambapo wiki hii tulimtembealea muuza nyago aliyepata kujitangaza vyema katika wimbo wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ uitwao Akadumba, Asha Salumu `Kidoa’.

Kila uchwao mrembo huyo anazidi kujiongezea umaarufu kutokana na picha zake kali zinazoonesha alivyoumbika kusambaa mitandaoni.

Kidoa anaishi peke yake maeneo ya Kinondoni- Mkwajuni jijini Dar. Mpaka Home ilifanikiwa kumpiga picha tofauti mrembo huyo akiwa anafanya shughuli zake za nyumbani kama kupiga deki, kuosha vyombo, kununua bidhaa gengeni na kufanya kazi nyingine nyingi za nyumbani kama zinavyojieleza:

Leave A Reply