The House of Favourite Newspapers

Kifo cha Malkia Elizabeth II: Jinsi Majina na Mpangilio wa Urithi Ulivyobadilika

0

Malkia Elizabeth II ndiye mfalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uingereza.

Alikuwa na watoto wanne, wajukuu wanane na vitukuu 12.

Alifariki dunia Septemba 8, 2022 baada ya miaka 70 kwenye kiti cha enzi na anarithiwa na mtoto wake mkubwa, King Charles III.

Jua zaidi kuhusu Familia ya Kifalme na safu ya mfululizo hapa chini.

Leave A Reply