The House of Favourite Newspapers

Kijana Achinjwa Kikatili Arusha, Mazishi Yake Yawaliza Wengi, Mchungaji Atoa Tamko Zito Msibani..

Kijana Godluck Tiveli Mkazi wa Arumeru Mkoani Arusha leo amezikwa katika nyumba yake ya milele baada ya kuuliwa kuwa kuchinjwa na Kitu kinachozaniwa kuwa ni panga.