The House of Favourite Newspapers

Kijana Yamkuta, JPM Aagiza: ‘Kamata Huyo Weka Ndani’ – Video

KIJANA mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutiwa mbaroni kufuatia agizo la Rais John Magufuli wilayani Mbarali mkoani Mbeya baada ya kuoneakana akifanya fujo wakati mkutano huo ukiendelea.

 

Rais ametoa agizo hilo leo wakati akiwahutubia wananchi hao katika Uwanja wa Barafu, Mbarali aliposema: “Wewe usinifanyizie fujo mkutano wangu, shika huyo weka ndani, nilikuwa nakuona tu, mchukue huyo kamweke ndani akajifunze huko.”

 

Comments are closed.