The House of Favourite Newspapers

Viongozi Wakuu wa CCM Wakutana Dodoma

0

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo March 30,2021 ameshiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambacho ni kikao Maalum kinachoendelea Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Dodoma.

 

 

 

 

 

 

 

Leave A Reply