The House of Favourite Newspapers

Kila la Kheri Form 6, Ratiba Yao ya Mitihani Iko Hapa

0

Kampuni ya Global Publishers inawataika mtihani mwema watahiniwa 74,963 ambao wameanza mitihani yao ya kidato cha sita leo nchini kote ambapo, kati ya hao, wakujitegemea ni 11,861.

Tunawaombea mfanye vyema mitihani yenu na mpate ufauru mzuri ili muweze kufikia malengo yenu.

Leave A Reply