The House of Favourite Newspapers

Mastaa Marekani Wang’aa Maonyesho Ya Mavazi Ya Met Gal 2017

0
Mwanamitindo na mtangazaji, Kim Kardishian, alivyotokelezea katika mashindano ya mavazi ya Met Gala  jana New York, Marekani.
Rapa wa kike, Nicki Minaj, alivyong’aa.
Priyanka Chopra alivyokuwa.
Priyanka Chopra akielekea kupanda ngazi.
Mtangazaji na wanamitindo, Kendall Jenner.
Mwanamuziki na muigizaji, Jennifer Lopez.
Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty.
Julianne Moore.
Nyota wa filamu nchini Kenya, Lupita Nyong’o.
Reese Witherspoon.
Mary Kate na dada yake Ashley Olsen.
Wapenzi Blake Lively na Ryan Reynolds.
Katie Holmes akiwa na mbunifu wake wa mitindo Zac Posen.
Muonekano wa Serena Williams.

Leave A Reply