The House of Favourite Newspapers

KIPINDI MAALUM LIVE: Mwenyekiti wa Kitongoji Kibiti Atobolewa Macho Kikatili

0


GLOBAL TV GLOBAL TV Online inakuletea kipindi maalum ambapo mwenyekiti wa Kitongoji cha Rondo, Mangwi, Kibiti mkoani Pwani, Michael Nicholaus ametobolewa macho na watu wasiojulikana, na kupewa ulemavu wa kudumu huku nyumba aliyokuwa akiishi na vitu vyote vilivyomo ndani yake, vikiteketezwa kwa moto.

 

Akisimulia kwa masikitiko makubwa, Michael alisema, siku ya tukio alivamiwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana, ambapo walivunja milango na kuingia wakiwa na bunduki, ambapo waliingia na kuwatoa watu wote waliokuwa ndani ya nyumba hiyo, wakamfunga kwa kamba na kwenda kumtoboa macho, huku mwenyekiti wa kitongoji hicho akipigwa risasi na kufa.

Leave A Reply