The House of Favourite Newspapers

Kisa kuogopa kupigwa… Kajala alindwa na baunsa

0

c367kajala8891.jpgStaa wa filamu Bongo, Kajala Masanja.

STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja ameamua kulindwa na baunsa aliyejulikana kwa jina moja la Omary ikiwa ni siku chache tangu akoswe kutupiwa glasi akiwa Fukwe za Escape One, Mikocheni jijini Dar.

Akizungumza na kona ya Bongo Movies, Kajala alisema kuwa binadamu wa sasa wamebadilika sana hivyo anahitaji ulinzi wa kutosha.

“Sioni kama kuna ubaya kuwa na mtu anayeweza kunilinda na kuniepusha na vurugu nyingi mjini. Baunsa huyu naimani atanisaidia sana,” alisema Kajala.

Leave A Reply