Kisiwa cha Harishi- Part 10
“Kisiwa cha Mauti, Kisiwa cha Harishi, mahali yalipo makazi ya jini hatari anayeishi kwa kufyonza damu na ubongo wa binadamu.
Ni jini huyu ndiye aliyehusika na kupotea kwa Yasmin, ambaye inakuja kugundulika kwamba yupo ndani ya kisiwa hicho, bado akiwa hai? Je, wavuvi hao watasalimika? Mwisho wa Yasmin, binti wa Rais wa Comoro ni nini? Uhondo wote ni ndani ya simulizi hii ya Kisiwa cha Harishi. “…
Fuatilia kisa hiki “BURE” ndani ya GLOBAL APP PEKEE
iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8

<< SOMA BURE HAPA>>

