Kitumbo cha Nandy chashtua!

MTOTO mzuri Nandy amedaiwa kunasa ujauzito kufuatia wananzengo kuona kipande kipya cha video cha mrembo huyo.  Kwenye kurasa mbalimbali za umbea huko Instagram, wametupia kipande cha video kinachomuonesha Nandy akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Bilnass wakiwa wanatembea huku wakizungushia kiduara kwenye eneo la tumbo la Nandy.

“Mh! Shostito  kitumbo hichi vipi tayari nini baba la baba keshafanya mambo?” alihoji mdau mmoja Instagram. Hata hivyo licha ya kipande hicho cha video kutembea sana Instagram, Nandy mwenyewe hakufunguka chochote.


Loading...

Toa comment