The House of Favourite Newspapers

Kiungo Mpya wa Ghana Awasili Yanga – Video

0


Kiungo mpya wa Yanga SC kutoka nchini Ghana, Benard Morrison, ameshawasili nchini Tanzania tayari kwa kuanza kazi na waajiri wake hao kutoka mitaa ya Jangwani, ambapo amesema amekuja kuisaidia klabu hiyo kufikia malengo yake kwenye soka.

Leave A Reply