The House of Favourite Newspapers

Kocha wa Simba Kukaa Jukwaani Mechi za CAF

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) imetoa List ya Makocha ambao hawatoruhusiwa kukaa benchi kwenye mechi za CAF.
Kocha mpya wa Simba SC, Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa ni moja kati ya Makocha ambao watakaa Jukwaani Mechi za CAF Gomez hajakidhi vigezo,ana Leseni ya UEFA A  wakati inayotakiwa ni Leseni ya UEFA A PRO ambayo hana.
Leave A Reply