Kongamano la Data Tamasha 2021, Vodacom Yaelezea Wanavyoweza Kuifikia Jamii
MKURUGENZI wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia(katikati ) akichangia mada ya huduma jumuishi za kifedha kwenye kongamano la takwimu (Data Tamasha 2021) kupitia huduma ya M-Pesa, jinsi ambavyo wanafanya malipo kidijitali na kuchangia pato la Taifa. Wengine kulia ni Mike Shaka kutoka Nilipe na Mtaalam wa Taarifa na Takwimu kutoka NMB, Timiebi Itanisa.